Vanessa Mdee
Niroge
Nahreel on the beat
Mmmh mh mh
Ei yeeee
Raha ya nyumba mwanaume
Wacha nikutunze
Nyumba yetu tuipambeee
Hapo nyuma tulishindiaga mabwende
Karanga na makande??
Ugali dona sembe
Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko)
Hawaishi (longolongo)
Vimaneno kama (viroboto)
Wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto
Jamani sielewi
Baby your
Ukimona furaha tele moyoni
Nikimona anatabasamu usoni×2
Naomba uniroge×3
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge×3
Sikusifii
We mwanaume nguzo
Ulishindana vikwazo
Tangu mwanzo
Ulipambana na wenye nazo
Ili niwe mali yako
Leo kula vyakooo
Your my dream in my life
Hata me moyoni we ndo unanifaa
Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko)
Hawaishi (longolongo)
Vimaneno kama (viroboto)
Wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto
Jamani sielewi
Baby your
Ukimona furaha tele moyoni
Nikimona anatabasamu usoni×2
Naomba uniroge×3
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge×3
To the left
To the right my life×3to the left
Kwani mapenzi matamu
To the left
To the right my life×3to the left
Kwani mapenzi matamu
Ukimona furaha tele moyoni
Nikimona anatabasamu usoni×2
Naomba uniroge×3
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge×3
To the left
To the right×3to the left×2