[Intro]
Yo, yo, you're so fine
Baby (Hey!)
I do this for you, Oh no
Mmmh
(S2Kizzy, Baby)
[Verse 1]
Nahisi niko kwenye njozi
Huba imenikolea, kuamka sitamani (Kuamka sitamani)
Yeah
Tena na kusihi ulilinde penzi
Mwenzako nimenogewa, hoi taabani (Hoi taabani)
[Chorus]
Na hata nikiumwa we' ndio unanitibu
Wangu daktari, kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe maswali
Baby, nipe taratibu
Huo utamu wa asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe, no, no
[Post-Chorus]
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe, mmm)
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe)
Ah, kwako nitang'ang'ana tu (Ntang'ang'ana nawe)
Eh, eh-eh
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe)
Yeah, yeah
Sababu I love you
Yeah, yeah
I love you
Mmm, yeah
[Verse 2]
Naanzaje kuku-cheat nakifata kipi?
Hakuna jipya duniani nishafanya utafiti
Tena umewaacha [mbal-e], ulipo we 'hawafiki
Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki
Mmm
[Hook]
Na hata nikiumwa we' ndio unanitibu
Wangu daktari, kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe maswali (Yeah, yeah)
Baby, nipe taratibu
Huo utamu wa asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe, no, no
[Outro]
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe, mmm, yeah)
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawewe, hey)
Kwako nitang'ang'ana tu (Ntang'ang'ana nawe)
Eh, eh-eh
Kwako nitang'ang'ana (Ntang'ang'ana nawe)
Yeah, yeah
Sababu I love you
Yeah, yeah
I love you