Jux.
Maboss
[Intro]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wenyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
(Kibab?ba, Nenga)
Badmon
Mmm, mmm
(Chu-, chupa imeamka na chai, ausio?)
S2Kizzy, Baby

[Verse 1: Billnas]
Wanasema roho mbaya, roho mbaya kweli ninayo
Nafanya makusudi kushinda hizo chuki zao
Tena wanafki bado nakula nao, na hainipi shida riziki hawatoi wao
Ex wangu anatamani niachike, nifubae, niishe, nidhalilike
Adui zangu wanatamani wanizike
Niwe choka mbaya, na mwisho nifilisike

[Chorus]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wenyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
Tena wanafosi, kutuona tuna lost
Wanatuombea mikosi (Yeah, yeah, ih)
Tunalindwa na sir God pekee
[Hook: Billnas]
Hao, hao, hao, hao
Wananisema mimi, hawaoni yao
Hao, hao, hao, hao
Wakiomba mabaya yanarudi kwao
Hao, hao, hao, hao
Wananisema mimi, hawaoni yao
Hao, hao, hao, hao
Wakiomba mabaya yanarudi kwao

[Chorus]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wenyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
Tena wanafosi, kutuona tuna lost
Wanatuombea mikosi (Yeah, yeah, ih)
Tunalindwa na sir God pekee

[Drop]

[Verse 2: Billnas & Jux]
Eh
Na hao marafiki wanafiki tunaishi nao
Wana chuki utadhani labda, 'tunaishi kwao
Wanashindwa kurithi nyumba na mali za baba zao
Cha kushangaza wanarithi tabia za dada zao
Ex wangu anatamani niachike, nifubae, niishe, nidhalilikе
Adui zangu wanatamani nizikwe
Niwe choka mbaya, na mwisho nifilisike
[Chorus]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wеnyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
Tena wanafosi, kutuona tuna lost
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee

[Hook: Billnas]
Hao, hao, hao, hao
Wananisema mimi, hawaoni yao
Hao, hao, hao, hao
Wakiomba mabaya yanarudi kwao
Hao, hao, hao, hao
Wananisema mimi, hawaoni yao
Hao, hao, hao, hao
Wakiomba mabaya yanarudi kwao

[Chorus]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wenyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
Tena wanafosi, kutuona tuna lost
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
[Drop]