Nibaki Na Wewe

[Verse 1] – Young Lunya

Baby una bonge la shape, sura pia

Bonge la upaja na guu la bia
Mtaani, mtaani wanakunyatia

Eti nnapokula mi wanataka kula pia, mmh!

Sema mwingine I don’t see

Haters wanabaki like OMG (OMG)

Wanafki nao oh hooh

Hawawashi.. pilipili hoho

Baby la kichaga, shimboni

Baby we ni maji, shingoni

Baby we ni mwisho, ukingoni

Baby una utundu wa kingoni

Na pozi za kisister du

Chini nikila AirMax we ni viatu vya juu

Tumetoka mbali hawajui

Tumetoka mbali, M-Rap, Hawajui



[Chorus] – Young Lunya

Oh baby it’s you, unanifanya nifurahi

Kila saa natabasamu

Oh baby it’s true, unaponiangalia

Unaniteka tena sana

So nkaona bora nibaki na wewe

(Bora nibaki na wewe) – x 3



[Verse] – Salmin Swaggz & Young Lunya

Mara ya kwanza namuona alikua anatoka class

Ili ajue sinywi pombe nikaficha glass

Daftari likanihusu.. maana ana class

So, akaniruhusu mi nikampa trust

No negativity tukaenda dhibiti

Maneno ya marafiki tukayafunga kama vizingiti

Told her about the games that I don’t play, (Don’t play)

Kabla sijasema she know what I’m gon’ say, (Gon’ say)

You know my family, you know my whole spirit

Nishatembea na madem wana hoe spirit, (Hoe spirit baby)

Nawapa wanachezea but they don’t steal it

It’s coming from my heart so I know you feel it

[Hook] – Young Lunya

We... na wewe

Utakapoishi we

Nataka niishi na wewe



[Chorus] – Young Lunya

Oh baby it’s you, unanifanya nifurahi

Kila saa natabasamu

Oh baby it’s true, unaponiangalia

Unaniteka tena sana

So nkaona bora nibaki na wewe

(Bora nibaki na wewe) – x 3



[Bridge] – Conboi

Tumetoka mbali, tunakwenda mbali nataka ufike na mimi girl

Twende nyumbani ukawaone wazazi, yeah

Nampenda mpenda she knows that (She know dat)

Sintomtenda she knows that (She know dat)

Nampenda mpenda she knows...

Sintomtenda, mi nampenda



[Verse] – Country Boy

Ipite siku sijakuona moyo utanidunda

Kwa uzuri ulio nao sijui kama utachunda

Mungu akupe nini, we zaidi ya dini

Mi mshamba wa mapenzi ukicheche za watoto wa mjini, haah

Nataka siku uniite husby, haah

Tuzae watoto waniite daddy

Sitoi boko mechi zote mi ni shuti ndani

Unanidatisha unaposema “I’m coming...”



[Outro] – Young Lunya

Bora nibaki na wewe x4

Mama we, bora nibaki na wewe

Wengine wananichanganya changanya nkaona bora wewe

More by OMG Tanzania

All OMG Tanzania songs →