Wanangu Na Wanao

[Intro: Rosa Ree]

Yo this is the Goddess of rap reporting live from my throne bitch ass n***as
[Chorus: Young Lunya]

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu

Na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao



[Verse 1: Rosa Ree]

I'm superdupa fly check wanangu wanavyonata

Ukianza kudiscuss ishu zetu utadata

Fly like helicopters smooth swag like it's butter

I've been filling body bags since I was up in the gutter aah

Crazy how people be talking bout people they don't know

We in the street everyday and we win on the downlow

Cheza mbali, huu ni moto wa kuotea mbali

If you see me winning jua sio zali

I've been working daily kutafuta mali, (yo it's good)

Namcheck mwana na wanangu, n***a pay up

Hamna kulala mtaani yeah you finda stay up

Hustling in the street everyday all day all day

At the top of the chain looking hella rich aaah



[Chorus: Young Lunya]

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu

Na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao



[Verse 2: Con Boi]

Wanangu the real ones you know that

We never fake till we go down

Came a long way you don't know that

It's me and my n***as

Me and my dawgs

We really don't fuck witcho'

Wanangu wa home 104 you know amma ride witcho'

We chasing the dow (Run it, run it!)

N***as be chasing hoes

Wanao wanataka watoto wakali halafu hawana hata dow

Got my n***a with me right now 34 townson, Kacci

Got my n***a n***a Chief Rocka and Ibranation classic

Got my n***a n***a Wildad and Branded Boy mbona safi

You wanna fuck with my n***a aah I be Country Boy Aah Wapi!



[Chorus: Young Lunya]

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu

Na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao



[Verse 3: Salmin Swaggz]

Usiwafananishe wanangu na wanao

Wanaowish kua kwenye mishe ziwe zangu au zao

Wazushi wa mambo masnitch ndo wanao

Kina Wong Lee, Bill, can you see?

Wanang'ang'ania, wanapania

Maisha ya Insta wanatuhadithia

Wanangu wanavimba wanao wanawinda

Na hawana chochote wanacholipia

I think amma do this a moment of fear

Wana ka Viva na Lyrical pia

Kwenye michongo wananipasia

Na sio tu mademu wananiwakia

Wanaodhani kwamba tunafall, tunaball n***a

Wanaotoka Mikocheni mpaka Kariakoo n***a

Wanataka hizi cheni wanakaba koo n***a

Tunafanya yetu we doing us

Wanangu waambie they not fooling us



[Chorus: Young Lunya]

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu na wanao

Usiwafananishe wanangu

Na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao nao nao nao nao na wanao

Wanangu na wanao

More from Low.Life.Lifted

More by OMG Tanzania

All OMG Tanzania songs →