[Hook: Young Lunya]

Solooo, sicheki cheki kama kipara Solo

(Haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)
Solooo, siwachekei kama kipara Solo

Soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)

Soloo (sicheki, sicheki, sicheki)

Soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)

Soloo (sicheki, sicheki, sicheki)

[Verse: Salmin Swaggz]

Sitaki kucheka na hawa makoro akili isharuka ka tisa kasoro

Mi nawaliza kwa giza totoro nafanya madoro wanakuja wanafollow na ka niko solo nabeba godoro kichwani watoro wanajua viporo

Show me the way unavyoshow unavyoshow love

We takin back on this shit we go low low

Cheki kwanza nimekuja poteza ikidundwa unacheza uniguse unaweza, niloshalegeza wakatengeneza eti ooh lord mwana siku hizi anacheza

Hii kama order mi natekeleza, we paka poda mi nasaka fedha, sina watoto sitaki dekeza na ukinichekea naweza kumeza

Naona ka ukicheka na nyani utayavua mabua, mbona nshawapasua fanya ka unajua wanachanganua mi nachanga dua, mi napangarua ni kisanga jua, kama chandarua mi nawapangua, naona ka nakamua utamu flani wa muwa

Sema eti naringa 'sabu nishaamua

Wanatuuzia ujinga na hatutaki kujua nah yeah

[Hook: Young Lunya]

Solooo, sicheki cheki kama kipara Solo

(Haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)

Solooo, siwachekei kama kipara Solo

(Haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)

Solooo, sicheki cheki kama kipara Solo

(Haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)

Solooo, siwachekei kama kipara Solo

(Haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)

Soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)

Soloo (sicheki, sicheki, sicheki)

Soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)

Soloo (sicheki, sicheki, sicheki)

[Verse: Con Boi]

All the time niko lowkey

Sicheki nao hata waki joke and

I smoke trees najikoki

And I aint fuck wit the police, na wenyewe sicheki nao naona ka! Ni mikosi

I need space I need privacy, nna meditate najenga legacy, 

Ndio maana usiku I never go to sleep

Najiona kama nishapewa prophercy

I teach them n***as lesson everyday,  hata ucheke they gonna hate anyway, 

Suckas never ever roll wit me,  wanakaa wakinichekea in front of me

I’m in the battlefield so im never chill till i'm finna kill all my enemies, gotta a lotta skills na nataka mills n***a you cant take away my energy, 

I mean!! Fitna!! Fitna!! Wanaweka fitna! Wanataka fitna!  Fitna!!

I do what i feel now sicheki na makima wote nnawazima wazima

Masikio yasio na pear now wote watasikia now mpaka vipofu they gonna see now, tumeshakuwa watu wazima hatutaki tuu majina tunataka tuweke heshima heshima

[Hook: Young Lunya]

Solooo, sicheki cheki kama kipara Solo

(Haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)

Solooo, siwachekei kama kipara Solo

(Haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)

Solooo, sicheki cheki kama kipara Solo

(Haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)

Solooo, siwachekei kama kipara Solo

(Haah, haah, sicheki nao, sicheki nao, sicheki nao)

Soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)

Soloo (sicheki, sicheki, sicheki)

Soloo (sicheki nao) solooo (sicheki nao)

Soloo (sicheki, sicheki, sicheki)

[Vetse: Young Lunya]

Nakimbiza mbele sirudi deki

Watoto wananipetipeti

Nakaza buti sicheki cheki

Wale majamaa ni feki feki

Wananitisha sitetemeki

Usiku wala siweweseki

Ndo kwanza nalala na mama lao nikimwaga maji na kupiga deki kudadadadeki

Vita ni vita mapigo mazito utasema naPlay picha la kiveti

Mikaratasi kibao ya michano ukiniona kama bingwa la kubeti

Ndio machizi kibao, mi mmoja wao ila nilipoteza vyeti, nikichana nachana utamu, utamu utamu utamu

Saruti kwa Nikki na Joh, huku ni soo, wana washaingia choo

Wakali wa kazi hizi OMG yeah you already know

Vita Barida barafu chafua tuondoe kalio ukalie Koo

Sie ni matozi alafu chafu zingua zingua zingua ukalie Ooooooh, UKALIE NDOO.. UKALIE NDOO

More by OMG Tanzania

All OMG Tanzania songs →